Alhamisi, 5 Mei 2016

alikiba kuachia wimbo mpya uitwao aje

Alikiba kuachia wimbo mpya uitwao ‘Aje’ By Fredrick Bundala on May 5, 2016 - 12:00 pm 234 shares Share Tweet Share Share 7 Comments Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’ 13109024_260255790985138_1591226095_n Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu. Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae.

Maoni 1 :